.


KARIBUNI


kutoka kwa mwandishi..

Karibu katika tovuti hii ya Kikatoliki. Tovuti inakusanya habari mbali mbali kuhusu maisha ya kawaida ya wakatoliki. Pia ina mahali pa majadiliano na mambo mengine kadha wa kadha kuhusu wakatoliki wa Tanzania na duniani kwa ujumla. Mambo yasowahusu wakatoliki moja kwa moja pia yanapatikana hapa.

Kwa wale waliokwisha tumia tovuti hii kwa siku za nyuma nafikiri wanaona mabadiliko. Hii ni kutokana na ushauri wenu nyinyi watumiaji wa tovuti hii. Natumaini ya kuwa mpangilio wa sasa utakuwa rahisi kidogo kuutumia. Bado naendelea kupokea maoni yenu juu ya kuboresha zaidi tovuti hii.

.

HABARI/NEWS         GUEST BOOK

GREETING CARDS         CHAT ROOM

DISCUSSION BOARD
(kiswahili)

DISCUSSION BOARD
(English)

  

  

  

free seo tool